Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia.
Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto.
Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha hilo. Huku nilipo Kisiwa cha Mafia, mwani unapatikana kwa wingi sana, lakini hauna soko kabisa.
View attachment 3155822
sea weed ni mboga za baharini zina majani kabisa kama zilivyo mimea mingine. Sea moss (mwani) hauna majani ni kama spaghetti (tambi)Kati ya picha ya juu na ya chini, upi ni mwani? Naona hiyo sea moss ndio kama tunaiita mwani huku wakati kimalkia wanaita sea weed.
Pole mkuu,Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha hilo. Huku nilipo Kisiwa cha Mafia, mwani unapatikana kwa wingi sana, lakini hauna soko kabisa.
Sasa hapo ndio tafrani inapoanza, Kwa mfano ni nadra sana kusikia neno sea moss kwenye maeneo yetu, tutakutana na seaweed wakimaanisha mwani.sea weed ni mboga za baharini zina majani kabisa kama zilivyo mimea mingine. Sea moss (mwani) hauna majani ni kama spaghetti (tambi)
Unataka nani akutafitie?Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia.
Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto.
Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha hilo. Huku nilipo Kisiwa cha Mafia, mwani unapatikana kwa wingi sana, lakini hauna soko kabisa.
View attachment 3155822
Kuna namna yeyote unahusika na hili zao, kulima au kuongezea thamani?Sasa hapo ndio tafrani inapoanza, Kwa mfano ni nadra sana kusikia neno sea moss kwenye maeneo yetu, tutakutana na seaweed wakimaanisha mwani.
Hapo ndio hua nachoka
Kuna namna yeyote unahusika na hili zao, kulima au kuongezea thamani?
nimewahi kufanya kazi kwa nyakati tafauti na wakina mama wakulima wa mwani, tangu miaka ya tisini wakati ndiyo kwanza umeanza kuoteshwa visiwani.naona unaufahamu mwani, wewe ni mkulima au unaongezea thamani mwani