mwanmke aliejifungua kwa opration akibeba mimba baada ya miezi kumi!

mwanmke aliejifungua kwa opration akibeba mimba baada ya miezi kumi!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
mwnamke aliyejifungua kwa operation *akipata mimba ndani ya mwaka,hususani miezi kumi inamadhara gani?
 
Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa.
 
Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa.
asante dada manaake nikiisi wifi yako,anamimba huaga napata presha.vipi kwamara ya2 ulijifungua kwa opration pia?*
 
Back
Top Bottom