Mtoa mada unaelewa maana ya constellation?, huo mwamba hupo sehemu gani?. mi nashauri kabla ya kupost kitu ni bora ukajaribu kupitia pitia. kiufupi ni kwamba hakuna mwamba unaitwa orion isipokuwa ni mpangilio wa nyota na orion mpangilio wake unang'aa na hivyo kuonekana kwa wepesi hata kwa naked eyes hapa duniani
Hiyopicha ni ya naked eyese,
Halafu picha ambazo umeweka hizo ni zile ambazo zimepigwa na NASA kwa kutumia infared telescope, ukitumia device unaona nyota nyingi kiasi cha kwamba unaona kama giant thing.
hIyo ni picha iliyopigwa na NASA. na hivyo ndivyo orion jinsi inavyotokea na hilo lingine ni dust na clouds,
kwa hiyo mkuu hizo ambazo umeandika hapo ni porojo tu na hadithi za kusadikika ambazo hazina ukweli wowote.