Mtoa mada unaelewa maana ya constellation?, huo mwamba hupo sehemu gani?. mi nashauri kabla ya kupost kitu ni bora ukajaribu kupitia pitia. kiufupi ni kwamba hakuna mwamba unaitwa orion isipokuwa ni mpangilio wa nyota na orion mpangilio wake unang'aa na hivyo kuonekana kwa wepesi hata kwa naked eyes hapa duniani
Hiyopicha ni ya naked eyese,
Halafu picha ambazo umeweka hizo ni zile ambazo zimepigwa na NASA kwa kutumia infared telescope, ukitumia device unaona nyota nyingi kiasi cha kwamba unaona kama giant thing.
hIyo ni picha iliyopigwa na NASA. na hivyo ndivyo orion jinsi inavyotokea na hilo lingine ni dust na clouds,
kwa hiyo mkuu hizo ambazo umeandika hapo ni porojo tu na hadithi za kusadikika ambazo hazina ukweli wowote.
mkuu orion iko upande gan nikitaka kuionaMtoa mada unaelewa maana ya constellation?, huo mwamba hupo sehemu gani?. mi nashauri kabla ya kupost kitu ni bora ukajaribu kupitia pitia. kiufupi ni kwamba hakuna mwamba unaitwa orion isipokuwa ni mpangilio wa nyota na orion mpangilio wake unang'aa na hivyo kuonekana kwa wepesi hata kwa naked eyes hapa duniani
Hiyopicha ni ya naked eyese,
Halafu picha ambazo umeweka hizo ni zile ambazo zimepigwa na NASA kwa kutumia infared telescope, ukitumia device unaona nyota nyingi kiasi cha kwamba unaona kama giant thing.
hIyo ni picha iliyopigwa na NASA. na hivyo ndivyo orion jinsi inavyotokea na hilo lingine ni dust na clouds,
kwa hiyo mkuu hizo ambazo umeandika hapo ni porojo tu na hadithi za kusadikika ambazo hazina ukweli wowote.
Kama upo tanzania ambayo ipo southern hemisphere na pia hatupo mbali na ikweta, njia raisi ni kuamka alfajiri na kuangalia kaskazini magharibi mara huonekana upande huo, kumbuka orion ni mpangilio tu wa nyota kwa hiyo angalia vizuri hiyo image ya kwanza ya naked eyes structure ya hizo nyota jinsi zilivyo.mkuu orion iko upande gan nikitaka kuiona
asanteKama upo tanzania ambayo ipo southern hemisphere na pia hatupo mbali na ikweta, njia raisi ni kuamka alfajiri na kuangalia kaskazini magharibi mara huonekana upande huo, kumbuka orion ni mpangilio tu wa nyota kwa hiyo angalia vizuri hiyo image ya kwanza ya naked eyes structure ya hizo nyota jinsi zilivyo.
kuelewa zaidi kuhusu universe download hiki kitabu hapo chini.
http://golibgen.io/noleech1.php?hidden=r:/753000/7bebaee4d3f1949ee780070e9146713c&hidden0=NEIL_F._COMINS,_WILLIAM_J._KAUFMANN_Discovering_the_Universe____2007.pdf
yap nasubiri kukuche nichekiume
ridhika na jibu
Hivi mtoa mada MBINGUNI ni wapi ??? ( pia si vibaya ukisema kunafananaje, ni kama sayari, jua au Galaxy )View attachment 354935
Inasemekana Kwamba Kuna Tundu Kubwa linalozidi Kutanuka Kila Uchao Angani na wanazuoni wanazidi kuchomba wengine wakienda mbali kabisa kwa kusema ndilo tundu aliloitia Yesu akipaa zake mbinguni na kuzidi kutanuka kwake ni dalili kwamba yi karibu kurudi
IN ORION, THERE REALLY IS A HOLE IN THE SKY
View attachment 354936
Wewe ni Kafiri ndio maana akitajwa Yesu tu unaanza kujamajamba. [emoji1] [emoji2] [emoji3]Nimesoma nilivyofika kwa Yesu tu nikaona upuuzi huu.
Wewe ni Kafiri ndio maana akitajwa Yesu tu unaanza kujamajamba. [emoji1] [emoji2] [emoji3]
[emoji5] [emoji3] [emoji3] [emoji3]utakuwa mfuasi wa yule aliyeoa wa miaka 9, alipoulizwa kuwa jua linaenda wapi kila ifikapo jioni akasema linaenda kuzama kwenye matope, tehteh