B blues Member Joined Jul 10, 2014 Posts 59 Reaction score 13 Sep 5, 2014 #1 Jamani naomben ushauri mm kijana mwanaume nina mwanya ambao siupendi naweza kwenda kwa wataalam wa meno(dentist) ili wanipachike jino la bandia????
Jamani naomben ushauri mm kijana mwanaume nina mwanya ambao siupendi naweza kwenda kwa wataalam wa meno(dentist) ili wanipachike jino la bandia????
B blues Member Joined Jul 10, 2014 Posts 59 Reaction score 13 Sep 5, 2014 Thread starter #2 Wenyeji wa jukwaa hili vipi mbona kimya?
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Sep 5, 2014 #3 Usiogope hio haitibiki na sio.ugonjwa huna tatizo lolote mkuu be free
B blues Member Joined Jul 10, 2014 Posts 59 Reaction score 13 Sep 5, 2014 Thread starter #4 Najua si ugonjwa ila naweza pata jino la bandia mr?
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Sep 5, 2014 #5 huwezi kutoa hilo jino kama haliumi vingine ni kujiletea matatizo tu
B blues Member Joined Jul 10, 2014 Posts 59 Reaction score 13 Sep 5, 2014 Thread starter #6 Yaani ni hivi nina mwanya nafasi tu kati ya jino moja na jingine siumwi ila napenda nizibe hilo pengo kwa namna itakavyo wezekana mkuu!!
Yaani ni hivi nina mwanya nafasi tu kati ya jino moja na jingine siumwi ila napenda nizibe hilo pengo kwa namna itakavyo wezekana mkuu!!
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,012 Reaction score 3,700 Sep 5, 2014 #7 blues said: Yaani ni hivi nina mwanya nafasi tu kati ya jino moja na jingine siumwi ila napenda nizibe hilo pengo kwa namna itakavyo wezekana mkuu!! Click to expand... Huo ni mwanya na sio pengo
blues said: Yaani ni hivi nina mwanya nafasi tu kati ya jino moja na jingine siumwi ila napenda nizibe hilo pengo kwa namna itakavyo wezekana mkuu!! Click to expand... Huo ni mwanya na sio pengo
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Sep 5, 2014 #8 Aisee mimi mme wangu ana mwanya naupendajee akiwa anaongea au akichekaa,
G bznes JF-Expert Member Joined Jul 19, 2014 Posts 1,428 Reaction score 2,953 Sep 5, 2014 #9 Weka pc yake nikuambie kama utafaa kuwekewa la bandia?
Z zillo one Member Joined Aug 10, 2013 Posts 33 Reaction score 1 Sep 5, 2014 #10 nenda muhimbili dentist wako pale watakupanga meno vizur na huo mwanya hautaonekana
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,786 Reaction score 5,963 Sep 5, 2014 #11 Usharobaro kazi sana
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,786 Reaction score 5,963 Sep 5, 2014 #12 Dinazarde said: Aisee mimi mme wangu ana mwanya naupendajee akiwa anaongea au akichekaa, Click to expand... Ila si ulisema hana nguvu za kiume.?hivo hata awe na mwanya kama malaika ni useless.. Hahhahhahahha Dinazarde Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dinazarde said: Aisee mimi mme wangu ana mwanya naupendajee akiwa anaongea au akichekaa, Click to expand... Ila si ulisema hana nguvu za kiume.?hivo hata awe na mwanya kama malaika ni useless.. Hahhahhahahha Dinazarde
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Sep 6, 2014 #13 Somji Juma said: Ila si ulisema hana nguvu za kiume.?hivo hata awe na mwanya kama malaika ni useless.. Hahhahhahahha Dinazarde Click to expand... Weeee ni lini nikazungumza hivyoo kua mme wangu hana nguvu acha uchokozi kabisaaa ni rijali haswaaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Somji Juma said: Ila si ulisema hana nguvu za kiume.?hivo hata awe na mwanya kama malaika ni useless.. Hahhahhahahha Dinazarde Click to expand... Weeee ni lini nikazungumza hivyoo kua mme wangu hana nguvu acha uchokozi kabisaaa ni rijali haswaaaaa