Mwanza: AcessBank yafunga tawi baada ya mhudumu kupatwa na Corona

Tuchape kazi wazeee, kwani hapo bank kuna kipimo cha corona?
 
Kazi nzuri hio Benki, kujali wellbeing ya wateja ni moja kati ya wajibu wa mtoa huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…