Mwanza: Achanwa tumbo hadi kutolewa utumbo kwa kuhoji matumizi ya Tsh. 10,000 aliyoacha asubuhi

Ni Kiongozi gani wa wanyonge anayeishi kwa mfano wa makazi hayo mazuri na yaliyoboreshwa(Nyumba ya udongo iliyoezekwa vzr kwa nyasi) ili tukaige mfano wa hio nyumba yake mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaondoka kwenye mada. Sina muda wa kupiga chenga na danadana za namna hiyo.
 
Huko kanda ya ziwa kuna tatizo gani?? Watu wa huko ni watu wa hasira hasira sanaaa.
 
MOD badilisheni kichwa cha habari kiwe "Ampiga mkewe makofi kwa kunyimwa elfu moja ya vocha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…