Mwanza: Aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai

Mwanza: Aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai

Huko Magu, Mwanza aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai. Mko wapi COSTECH kufuatilia taarifa, kama hii, ili sayansi yake iwe "documented"?

View attachment 2028022
Kwani Yesu alipofufuka waliitwa wanasayansi kudocument hilo tukio? Sasa nyie watu wa Mwanza chukueni fursa hiyo muandike injili yenu kupitia watu wenu. Hiyo ndiyo documentation nzuri kuliko hiyo ya watu wa COSTECH
 
mwanza ndo zao. Hiyo ilishatokea tena miaka ya kati ya 2009-2011. Wazee wa misukule.
Kweli bado tuko nyuma. Yaani mnaamini huu upuuzi? Nimesikiliza clip lakini aliyeichukuwa hakupenda maelezo yote yasikike. Mtu anaanza kuelezea anakatisha. Haya mambo huwa yanatokea maeneo ambayo yako nyuma kimaendeleo tu. Huko kuna kila aina ya imani potofu. Huyu mama inawezekana walipozika hiyo 2008 walizika kimakosa. Au kuna jambo jingine tu ambalo linahitaji uchunguzi. Hili sakata ukilifuatilia likifuatiliwa na mtu mweledi lazima atagundua kilicho nyuma ya pazia.
 
dogo tulia bado mdogo sana, dunia hii inamaajabu, kuwa uyaone uache kusimuliwa, miaka hiyo ya 2009-2011, walimkuta huyo mtoto wao nje ya nyumba yao amekaa, akiwa na minywele mirefu na kucha afu alikuwa hata kuongea haongei tena vzr, walkwenda kuakikisha hospital ya BUGANDO DNA, kweli wakazidi kuamini ni mtoto wao baada ya kuhakikishiwa kwa vipimo na walivorudi kupasua kaburi walikuta mikungu ya ndizi kabisa ya muda mrefu.

walikaa na dogo, baada ya wiki mbili dogo akafa tena. Wacha kabisa hii dunia sii ya kitoto kama unavofikiri, dunia hii ina mambo. Na ndo muamini kuna Mungu na Shetani.
 
Huko Magu, Mwanza aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai. Mko wapi COSTECH kufuatilia taarifa, kama hii, ili sayansi yake iwe "documented"?

View attachment 2028022
Tena Magu...jirani na Gamboshi??? Hapo Mtemi wenu, Mzee wa Nyoka wa makengeza aulizwe. Alionekana Bungeni anamwaga unga mweupe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwani Yesu alipofufuka waliitwa wanasayansi kudocument hilo tukio? Sasa nyie watu wa Mwanza chukueni fursa hiyo muandike injili yenu kupitia watu wenu. Hiyo ndiyo documentation nzuri kuliko hiyo ya watu wa COSTECH
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona anagonga ugali halafu tinge lazima liwe na tela.....wasukuma kwa ugali😀
 
Naona kwa sura wanafanana kabisa na huyo anayedhaniwa ni binti yake
 
Back
Top Bottom