Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Pole mkuuR.i.P Classmate...🥲
Gambe imekatisha uhai lizembe sana, yaani inasikitisha sana kupoteza nguvu ya taifa kizembe sana..😮💨
🤣🤣🤣 miguu ipo wapUwa napenda nikienda bar nibebe cash ,nijaze hela kwenye laini zangu za simu ila niwe na chawa incase of anything nisidharirike japo na miguu yangu uwa iko upande wangu daima ikiwa mambo yataharibika kabisa .
Kiunoni🤣🤣🤣 miguu ipo wap
Sio kisogoni lol nimecheka aisee😅Kiunoni
Elewa neno miguu ShesRise_1 au mpaka baba yako aje kukufafanulia bwana Mshana JrSio kisogoni lol nimecheka aisee😅
Kaka usiwe unayaambia hayo majamaa ,ni mabishi sana alafu yanaringa .Mabaunsa kila siku natamani kuwaambia msijifanye makamanda sana kupitiliza..ona sasa unaamkia mahabusu BUTIMBA na kesi ya MURDER
Hayajui kumuadhibu mtu kuzingatia pressure points...mwaka 2021 nilikua bar moja hapo kona ya bwiru kuna jamaa walimdunda sana hadi nikahama bar za namna hyo...nikahamia club kubwa tu CLUB ELEVATE na THE CASKKaka usiwe unayaambia hayo majamaa ,ni mabishi sana alafu yanaringa .
Siku ukijaa kwenye hamsni zao ,yanapiga kweli kweli alafu yanapiga sehemu sensitive kabisa
Kwamba miguu inakaa kiunoni 😅Elewa neno miguu ShesRise_1 au mpaka baba yako aje kukufafanulia bwana Mshana Jr
Ipo miguu inayokaa kiunoni ,hiyo ndiyo ya mwisho ikiwa utata umefikia level ambayo sasa naona nadharirikaKwamba miguu inakaa kiunoni 😅
Mi najua ukikimbia mbio wanasema miguu kisogoni🤣
Ulifanya vizuri kabisa kaka .Hayajui kumuadhibu mtu kuzingatia pressure points...mwaka 2021 nilikua bar moja hapo kona ya bwiru kuna jamaa walimdunda sana hadi nikahama bar za namna hyo...nikahamia club kubwa tu CLUB ELEVATE na THE CASK
Ok ok sasa nimeelewa sawa 🤣🤣Ipo miguu inayokaa kiunoni ,hiyo ndiyo ya mwisho ikiwa utata umefikia level ambayo sasa naona nadharirika
WAtanidunda wakati huo ila kesho yake na mimi nawajua ntawafikisha wapi lazima waniheshimuUlifanya vizuri kabisa kaka .
Yaani bar zenye mibaunsa yenye nguvu usipende kwenda unaweza kujichanganya yakakudunda kipigo cha mbwa mwizi