Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

RIP ndugu yangu katika bia.

Yeye ameshaenda. Waliobaki kesi wanayo. Yaan watataabika kwa 8k.

Mara nyingne hatua tunazochukua kusort tatizo ni muhimu kufikiria matokeo yake.

Hata kama wasingemuua. Ile kumpiga tu na kumuumiza. Angeenda chukua PF3 alaf akaenda tibiwa hosp. Akalipa hela na akarud kudai hela zake za matibabu pamoja na gharama za usafiri. Ambayo still ingekuwa gharama kwa Wenye Bar zaid ya hiyo 8k aliyokuwa anadaiwa.

Hapo wangechukua simu. Au wangemvua viatu na shat. Au chochote tu.
 
eh mbona jana imepita na haujanitajia yale majina mawili yalobaki why
 
Aisee hata mimi nimeumia sana

Ila siku ukidakwa huko bar
Nishtue nitasongesha wasije wakakuumiza😒

Castle_Lite ndugu katika 🍻
 
Kaka usiwe unayaambia hayo majamaa ,ni mabishi sana alafu yanaringa .
Siku ukijaa kwenye hamsni zao ,yanapiga kweli kweli alafu yanapiga sehemu sensitive kabisa
Kuna moja lipo kitambaa cheupe tabata linatabia ya kufosi kulipa tipu au kufosi kinywaji..
Sasa mimi huwa simpi hadi kaniwekea kinyongo
 
eh mbona jana imepita na haujanitajia yale majina mawili yalobaki why
Si unaona kabisa niko kwenye maombolezo ya msiba wa ndugu yangu. Hebu subiria basi tumalize msiba😊😊😊😊.

By the way wanawake wa JF mmewakatisha tamaa majamaa wa waraka. Mmewachamba sana.

Mngezubaa tu kidogo waraka zingekuwa nying kama agano jipya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Waraka wa Win-one sijui ungekuwa na sura ngap.
 
Kuna moja lipo kitambaa cheupe tabata linatabia ya kufosi kulipa tipu au kufosi kinywaji..
Sasa mimi huwa simpi hadi kaniwekea kinyongo
Hilo ni lindugu na matimla na pia linatokea keko ,lilikuwa likabaji ,siku nastuka eti limeibukia kwenye ubaunsa .

Ila bro lile ngumi linajua ikiwezekana lipe tu tip lisije kukupiga bure ndugu yangu
 
huyo wa kunaindikia waraka atakua anajiingiza matatizoni tu maana nishaeleza mara kibao kwangu hakuna kila kitu labda kama ni wale wa "kikubwa awe anapumua",,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ndo naweza kumpa nafasi
 
Astghafirullah nani kawachamba 🀣
 
Aione rafiki yangu Associate prof
 
Mwaka Jana nilisimama hapoo mjini Dodoma nilikuwa naenda Monduli kukamilisha vipengele vya ndoa.Sasa Ile asubuhi kuanzia 11 mpaka 3 na kitu bill inakuja laki sita na ushee .Aisee tulizungukwa na mabaunsa ,wahudumu ,wapishi ,Kwa Yale macho wangetuua washenzi wale.Option ilikuwa imebaki ni kuzinesa tu au kulipa.Aisee.
 
Aisee
 
huyo wa kunaindikia waraka atakua anajiingiza matatizoni tu maana nishaeleza mara kibao kwangu hakuna kila kitu labda kama ni wale wa "kikubwa awe anapumua",,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ndo naweza kumpa nafasi

😊😊😊😊 jaman ww si ulisema ni black beauty na una uzur wa asili kama wale wanawake wa kisabato wa Kinyarwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…