Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tena ww umeujibu waraka kwa kuandika waraka.

Kwahiyo Waraka wa ShesRise_1 una
Waraka wa kwanza kama ulivyoandikwa na Chai ya Rangi.
na waraka wa 2 kama ulivyoandikwa na ShesRise_1.

Mtu mbad kabisa ww. Khah.
Ebu toka hapa mbona sijakuona kwenye waraka wowote au ulikua unapita kama unaaga maiti🀣
 
Ebu toka hapa mbona sijakuona kwenye waraka wowote au ulikua unapita kama unaaga maiti🀣
Busy busy tu nadhan nilikuwa.
Nikasoma juu juu. 😊😊😊😊
nilisema wapi? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mi huwa nabadilika kulingana na uzi,, hebu jifunze kusahau basi khaaaa
Sawa. Najisahaulisha.
Haya naomba niambie Nikumbuke lipi sasa la kwako?. 😊😊😊😊

Ila naona ww ni mpole mpole.
Waraka utaandikiwa tu.
😊😊😊😊
 
Sawa. Najisahaulisha.
Haya naomba niambie Nikumbuke lipi sasa la kwako?. 😊😊😊😊

Ila naona ww ni mpole mpole.
Waraka utaandikiwa tu.
😊😊😊😊
[/QUOTE]
mimi sio mpole ila haujawahi kunikuta kwenye anga zangu, utanikimbia Walah vileπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

ndio mimi ni msabato, cheusi tiii, hiyo ya kusema nafanana na wanyaru ni uongo ulokithiriπŸ˜…πŸ˜… labda kama nilitaka kujifariji tu
 
ndio mimi ni msabato, cheusi tiii, hiyo ya kusema nafanana na wanyaru ni uongo ulokithiriπŸ˜…πŸ˜… labda kama nilitaka kujifariji tu
Basi hapa tunachukua hili la usabato. Na uzuri wa kinyarwanda.

hilo lingine mm sijalisoma. Kuna namna usiku kuna maandishi siyaelewi na muda mwingine naruka ruka baadh ya maneno. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo ni lindugu na matimla na pia linatokea keko ,lilikuwa likabaji ,siku nastuka eti limeibukia kwenye ubaunsa .

Ila bro lile ngumi linajua ikiwezekana lipe tu tip lisije kukupiga bure ndugu yangu
Fala yule msenge kumbe unamjua.. 🀣🀣..
Kuna siku malaya kaniletea wenge nikambadilikia akataka kuchukua point kwangu
Ila kwasababu mimi mndewa mtaani hapo kitambaa wanagu wa boda wakamtuliza, .namtafutia target soon anaingia mikononi mwangu
 
Piga kidogo kaka awe na heshima ila usiuwe ,sina hela ya kulisha watu msibani sasa hivi aisee
 
Nawachukia sana hawa mambavu ya mbwa kujifanya kila kitu utadhani maisha wamemaliza,, wakati kazi yao ni ukuwadi kuwakuwadia wahudumu kwa wanaume domo zege,, acha waishie Butimba sasa,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…