Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mimi kanuni yangu bar yoyote ni kutengeneza urafiki na mabaunsa. Nikiingia bar naakikisha angalao mabaunsa watatu nimewatoa 5K kila mmoja. Hapo hata nikianzisha ugomvi mabaunsa wanakua upande wanguUwa napenda nikienda bar nibebe cash ,nijaze hela kwenye laini zangu za simu ila niwe na chawa incase of anything nisidharirike japo na miguu yangu uwa iko upande wangu daima ikiwa mambo yataharibika kabisa .
Kuna watu wanaishi na maradhi yao. Unapiga kofi moja mtu chini tayari ushaua.Starehe gharama
Ila wangemnyang'anya hata simu basi sio kumuua
Ni kweli watu wamekufa huku wanatembeaKuna watu wanaishi na maradhi yao. Unapiga kofi moja mtu chini tayari ushaua.
Hii nzuriMimi kanuni yangu bar yoyote ni kutengeneza urafiki na mabaunsa. Nikiingia bar naakikisha angalao mabaunsa watatu nimewatoa 5K kila mmoja. Hapo hata nikianzisha ugomvi mabaunsa wanakua upande wangu
Mishe vipi lakini mkuuAhsante ,mkuu alafu na wewe Dr nimekusamehe kwa msamaha ulituomba jana
Niko poa kaka ,pole sana kwa majanga ,ila pukuta vumbi tuondoke mwanetuMishe vipi lakini mkuu
Mmiliki anapotezaje kila kitu! Sheria haihukumu mtu ambaye hakushiriki tukio la uhalifu.Mmiliki kapoteza kila kitu hapo, probably wote wataishia jela for life, make sure ukiajiri unatoa mafunzo kwa wafanyakazi wako ili kuzuia disaster kama hizi, ujumbe kwa mabaunsa kazi yenu ni kudhibiti sio kupiga na kuumiza au kuua mtaishia jela na kuharibu maisha yenu
kwa wabongo naowajua mimi hapo ukute kilichomkosti huyo marehemu itakuwa ni majibu aliyokuwa anawapa hao wadai wake. utakuta kanywa bierre za kutosha mwenyewe halafu hana hata mia mbovu ya kulipa na bado anatoa kauli mbovu za kibabe. hii nimehisi tu lakin.
Mmiliki anapotezaje kila kitu! Sheria haihukumu mtu ambaye hakushiriki tukio la uhalifu.
Watakaopoteza kila kitu hapo na ikibidi kuishia jela ni wahusika wote wa hilo tukio. Kama mmiliki alikuwepo eneo la tukio na pia kushiriki mumpiga marehemu; ndiyo nitakubaliana na hoja yako.
Hakika !Majibu ndo tatizo. kuna mtu anadaiwa 300k anaachwa anaondoka, Huyu anadaiwa 8000 kapigwa mpaka kafa.
Ni jinsi unavo ongea na watu.
Mfanya biashara anauawa kisa 8,000 huyo alikuwa mvuta bange tu asie na maisha, hakuna mfanya biashara wa hivyoView attachment 3587608
#HABARI Kijana mmoja mfanyabiashara mkazi wa Mbugani Jijini Mwanza, anayejulikana kwa jina la Mzafaru Yunus (26), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kikatili ndani ya Baa iliyopo Kona ya Bwiru, Kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela, kufuatia kushindwa kulipa bili ya vinywaji yenye thamani ya Sh 8,000.
Tukio hilo limeibua taharuki miongoni mwa wakazi huku Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza likiwashikilia watu tisa wanaodaiwa kuhusika, wakiwemo walinzi wawili maarufu kama mabaunsa.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema marehemu alishambuliwa kwa ngumi, mateke, vipande vya mbao pamoja na bomba la chuma sehemu mbalimbali za mwili wake hadi kupoteza maisha.
Soma Pia: Arusha: Polisi auawa na wananchi akidhaniwa kuwa mwizi, Sita wakamatwa kwa tuhuma za mauaji
Amesema miongoni mwa waliokamatwa ni meneja wa baa hiyo, wafanyakazi wa usafi na walinzi wawili, huku watuhumiwa wengine wakidaiwa kutoroka kabla ya kukamatwa na polisi wanaoendelea na uchunguzi wa tukio hilo. #EastAfricaTV
Mmiliki kapoteza kila kitu hapo, probably wote wataishia jela for life, make sure ukiajiri unatoa mafunzo kwa wafanyakazi wako ili kuzuia disaster kama hizi, ujumbe kwa mabaunsa kazi yenu ni kudhibiti sio kupiga na kuumiza au kuua mtaishia jela na kuharibu maisha yenu
Labda aliibiwa wakati anapombeka 😀Mfanya biashara anauawa kisa 8,000 huyo alikuwa mvuta bange tu asie na maisha, hakuna mfanya biashara wa hivyo
Ko hutaki kuombwa bia weyee?? [emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana, vijana sijui kwanini wana ujasiri wa lwenda sehemu za starehe na hela hawana! Unakutana na kijana ana nguvu kabisa anakuomba bia unabaki unashangaa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka Jana nilisimama hapoo mjini Dodoma nilikuwa naenda Monduli kukamilisha vipengele vya ndoa.Sasa Ile asubuhi kuanzia 11 mpaka 3 na kitu bill inakuja laki sita na ushee .Aisee tulizungukwa na mabaunsa ,wahudumu ,wapishi ,Kwa Yale macho wangetuua washenzi wale.Option ilikuwa imebaki ni kuzinesa tu au kulipa.Aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nawachukia sana hawa mambavu ya mbwa kujifanya kila kitu utadhani maisha wamemaliza,, wakati kazi yao ni ukuwadi kuwakuwadia wahudumu kwa wanaume domo zege,, acha waishie Butimba sasa,,