Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

Kesi ya kuua Tanzania inachapwa na zile mashine za typewriter ili maandishi yasifutike leo wala kesho hao mabaunsa mpaka wanahukumiwa watakua na mwili kama Rais wa Rwanda...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polee yake sana kijana mdogo, kapoteza uhai kwa sababu zisizo za msingi. Lol
 
Watu hawanywi au kula sehemu ambazo wanaua watu ( reputation damage) na kwa sheria za bongo unaruhusiwa kushitaki business/owner for any damage or injury , na kwa wafanyakazi wako you are responsible for their actions while on duty, atashitakiwa kwa kilichotokea for big compensation, ila baunsas kesi ya mauaji inawahusu
 
....Hivi SI ingetosha TU kumkata na Kumpeleka Polisi kuliko kumpiga Hadi Kumjua Mdau wa Bar Yao ?? πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…