Mwanza: Baba amuua binti yake kutokana na kuchelewa kurudi nyumbani

Siyo kazi ya polisi kuhukumu bali ni kazi ya mahakama kutoa hukumu polisi kazi yao ni kukamata na kumfikisha mahakamani kwa jinsi sheria inavyowataka,
Huyo mzazi kama mzazi ninamwelewa kuna muda unaweza kuwa umedhamilia kufunza ukajikuta unapitiliza na hili jambo linaweza kumtokea mtu yoyote.
 
Mahakama itahukumu vipi kabla ya kupelekewa na polisi ?, hawa polisi ndio wa hovyo, hasa wale waandaa mashtaka, Hakimu si wa kulaumu, naona unatetea polisi
 
Hiyo ni kuua bila kukusudia. Amna kesi hapo sanasana atawekwa ndani siku mbili tatu zen anaachiwa.
 
Polisi ndie anamfunga mtu jela au kumnyonga?
Mtu akifanya kosa lazima ashikiliwe na polisi wanamfikisha mahakamani sheria itafata mkondo wake, sasa povu zito kwa polisi sijaona kosa lao.
 
Very pathetic.
 
Facts mkuu.nilipokuw mdogo nilihisi kawaida tu,saiz yamenigeukia vitoto vya siku izi vitatuua mapema.kama sio pressure basi jela aisee😭😭
 
Mahakama itahukumu vipi kabla ya kupelekewa na polisi ?, hawa polisi ndio wa hovyo, hasa wale waandaa mashtaka, Hakimu si wa kulaumu, naona unatetea polisi
Kwa hiyo unataka polisi wasimpeleke? Yani wavunje sheria kwa kufanya maamuzi ambapo hiyo siyo kazi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…