fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
haswa!!umelenga penyewe,me nasubiri huo uchaguzi maana barabara ya kishiri-buhongwa Ni kubwa mno na inatumiwa na watu wengi sana since it's the only shortcut ya kufika buhongwa ikitokea kisesa au igoma inatumia Kama 15minutes tuu,lakini serikali yetu haioni Hilo,
Kuna issue ya umeme kutoka kishiri mpaka sawa ulipoishia Ni portion ndogo Sana lakini ni miaka 3 Sasa since the last phase of REA na wamegoma kumalizia kwa kisingizio kuwa eneo Hilo walichagua kiongozi wa chadema,... it's a nonsense.
ntatoa Kura kwa atakayeleta maendeleo kwenye eneo langu.. OVER!!
Ni kukomaa nao tu kipindi Cha kampeni wakija na maneno yao ya kuomba Kura Ni kuwachana hakuna Kura bila kutimiza mahitaji ya wananchi ya muhimuMkuu mi naona kwa vile kuna uchaguz ahead wameanza kutandaza nguzo katika mitaa fulani hivi hapa nyuma ya uwanja wa ndege ila naona ni siasa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo inajengwa nahisiDuh! nimeshangaa kuona barabara ya Nyakato-Buswelu haijakamilika!!!
Mbona kuna kipindi walikuwa wanajenga barabara hiyo!!
Nimetoka mwanza miaka mi3 iliyopita nilijua imekamilika kumbe horaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni stanislaus mabulahaswa!!umelenga penyewe,me nasubiri huo uchaguzi maana barabara ya kishiri-buhongwa Ni kubwa mno na inatumiwa na watu wengi sana since it's the only shortcut ya kufika buhongwa ikitokea kisesa au igoma inatumia Kama 15minutes tuu,lakini serikali yetu haioni Hilo,
Kuna issue ya umeme kutoka kishiri mpaka sawa ulipoishia Ni portion ndogo Sana lakini ni miaka 3 Sasa since the last phase of REA na wamegoma kumalizia kwa kisingizio kuwa eneo Hilo walichagua kiongozi wa chadema,... it's a nonsense.
ntatoa Kura kwa atakayeleta maendeleo kwenye eneo langu.. OVER!!
Ebo! Nyie watu wa Mwanza vipi? Mmefaidi sana keki ya taifa tangu mwanzo wa awamu hii ya tano, sasa subirini kidogo wenzenu wa Chato nao wafaidi!KUelekea uchaguzi mkuu, Mwanza kama zamani za miaka ya 2000, tatizo limebaki kuwa barabra zetu. Miaka hiyo nimekumbuka barabara ya city centre to Airport, ilikuwa kichomi cha hatari.
Leo Mwanza barabra bado ni tatizo kubwa, Kishiri-Buhongwa, Igoma Kishiri, Kishiri Fumagila, Buhongwa -Bulale, Buswelu-Busenga-Coca, Buswelu-Kahama, Airport-igombe-Kayenze, Nyakato - uswelu, Buzuruga-Mahina, mahina-Bugando, Mahina -Nyangukukuru-Mkuyuni, Mahina-VicFish/Mwatex, Buswelu-Nyamhongolo-Igoma, Nanenane Ndofye Kishiri.
Barabara zote hizo ni tope na zinapitika kwa shida mawe makubwa sampo zinapasuka, barabara zote hizo zipo kwenye wastaniwa radius ya 8km tu kutoka city centre.
Swali ni je Angelina, Serikali kuu bado mnafikiria jiji lenye tope na barabara zisizopitika? Ile ya Nyakato Buswelu, Shule ya msingi Gedeli inakula vumbi kuliko masomo, kweli?
Hivi bajeti ya Manispaa ya ilemela ni chai, safari na posho tu? maana hakuna barabara hata moja mmejenga kama manispaa, ipi? kiseke ni worldbank. barabara ipi tangu muwe manisapaa imejengwa?
Ndo inajengwa nahisi
Ebo! Nyie watu wa Mwanza vipi? Mmefaidi sana keki ya taifa tangu mwanzo wa awamu hii ya tano, sasa subirini kidogo wenzenu wa Chato nao wafaidi!
ku
Miradi yote mlioletewa huko bado hamtosheki!kufaidi ni wa namna ipi mkuu, vumbi na kuua sample quide oil kumwagika na injini kunoki?
Nyamagana imejengwa toka muda halafu ndo kitovu cha jiji ilemela hapo lazima isome tu... Ni kama ilala na temeke.. Huyu Mabula wa nyamagana ni ovyo, mara mia nduguye wa ilemela.Ilemela ndio hakuna kitu kabisa, heri Nyamagana kama ni mbunge basi Mabula Kijana is far better than Mrs Mabula