fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
- Thread starter
-
- #61
Kuna Halmashauri zimemaliza miaka mitano hata Km 5 za lami hawajapata.
Na hiyo uliyosema Airport Igombe Kayenze,binafsi nmepita wiki mbili zimepita nikiwa naenda Kayenze nikitumia Volts,speed yangu ilikuwa 80 hadi 100 sijui ni ipi unayoongolea wewe.
Kweli kuna changamoto sana ya barabara za mitaani Mwanza lakini kwa hizi kubwa
Kuna sehemu nyingi pesa inapelekwa, mwananchi anahitaji huduma zaidi ya barabara. Kwa hiyo sioni kama ni shida kupokea msaada kwa ajili ya barabara na pesa kutoka ndani ya mapato ya halmashauri ikapelekwa kwenye maeneo mengine kama Afya, maji na elimu.Hii nimeisoma document yote mkuu, jibu tu swali langu. Kwa nini hatujengi Barabara zetu kwa mapato yetu? Manispaa gani ya kisasa barabara kama mpito ya mifugo tu huko kijijini? yaani kodi zetu ni kulipana posho maana mishahara jpm analeta
Hii im
Tungekosa hata hiyo 5% ungetoa machozi kwenye hii thread. Muhimu tumeweka 12km ndani ya mwaka mmoja tutafika tu kwa kuwa mipango ya kuongeza km za barabara za lami ni endelevu.Sikuelewi unajisifu kupata 19% vile kuna mjinga Fulani amepata 5%? Mi naongelea manispaa tena ya ilemela na Nyamagana jiji;
izichanganye kila moja ni baraFikirikwanza,
Katika barabara ulizotaja naona zingine zinapitika tena kwa uzuri kabisa. Mfano umesema barabara ya Buswelu Gedeli,hiyo barabara ilibadirishwa na kuwekwa coca Buswelu na hiyo ya Gedeli iko kwenye mpango wa kuwekewa lami.
Buhongwa Bulale hata ukiebda sasa hivi mkandaradi yuko kazini na Buhongwa Kishiri via Igoma nayo imechongwa majuzi kati na inapitika tu vizuri.
Labda kama hiyo ya machinjioni kweli ni mahandaki. Lakini zingine zinapitika japo kwa kiwango cha moramu.
Na hiyo uliyosema Airport Igombe Kayenze,binafsi nmepita wiki mbili zimepita nikiwa naenda Kayenze nikitumia Volts,speed yangu ilikuwa 80 hadi 100 sijui ni ipi unayoongolea wewe.
Kweli kuna changamoto sana ya barabara za mitaani Mwanza lakini kwa hizi kubwa kubwa hawa TARULA wanajaribu kwa kiasi chao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nyingi pesa inapelekwa, mwananchi anahitaji huduma zaidi ya barabara. Kwa hiyo sioni kama ni shida kupokea msaada kwa ajili ya barabara na pesa kutoka ndani ya mapato ya halmashauri ikapelekwa kwenye maeneo mengine kama Afya, maji na elimu.
Huu mradi uliofadhili ujenzi wa barabara Ilemela ni mradi maalumu wa kuendeleza miji kutoka (World Bank). Tanzania Strategic Cities Project (TSCP) maana zaidi umejikita kwenye ujenzi wa miundo mbinu kama barabara katika miji na majiji, hatuwezi kuukata kwa kuwa mapato yanandani yanaweza kujenga barabara.
mkuu hapa wanasoma na kuandika wetu wenye uelewa mkubwa sana na mdogo pia, Sijasema ni vibaya kupokea misaada, hiyo itakuwa uelewa wako mkuu.
NASEMA why tusijenge barabra kwa pesa zetu pia? TUsifanye msaada ndio maisha yetu bila msaada hatujengi barabara, nchi ni yetu tuijenge misaaada itakuja kujazilizia Km12 barabara msaada, huku km ZERO ujenzi kwa kodi zetu, hii ndio nasema akili zetu zinategemea msaada kwenye nchi iliyifufua azimio la arusha ujamaa na kujitegemea?
mwaka janaKuna sehemu nyingi pesa inapelekwa, mwananchi anahitaji huduma zaidi ya barabara. Kwa hiyo sioni kama ni shida kupokea msaada kwa ajili ya barabara na pesa kutoka ndani ya mapato ya halmashauri ikapelekwa kwenye maeneo mengine kama Afya, maji na elimu.
Huu mradi uliofadhili ujenzi wa barabara Ilemela ni mradi maalumu wa kuendeleza miji kutoka (World Bank). Tanzania Strategic Cities Project (TSCP) maana zaidi umejikita kwenye ujenzi wa miundo mbinu kama barabara katika miji na majiji, hatuwezi kuukata kwa kuwa mapato yandani yanaweza kujenga barabara.
Halmashauri zote baadhi ya mapato yamehamishiwa serikali kuu kama kodi ya aridhi na majengo, kama ulipitia documents ya mapato na makisio ya budget mapato ya Halmashauri ya Ilemela kwa mwaka hayazidi Billion 45, mbali na kuwa na makadirio ya bajeti ya billion 75 kwa mwaka.
Mchanganuo wa matumizi umeoneshwa vizuri hakuna pesa inayobaki bila kazi. Utakuwa umeelewa mapato ni billion 45 na makisio ya bajeti 75 kuna upungufu wa karibia billion 30 na bado unataka wa jenge barabara kwa pesa za ndani huduma nyingine zisimame?
Hatuna undugu na World bank, ufadhili tuliopata unaweza pelekwa hata Bukavu Congo Drc kwa sababu halmashauri ina pesa za kujenga barabara.
http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf pitia hii link vizuri. CAG yupo ni mkaguzi mkuu wa hesabu za Umma hakuna mwaka Halmashauri imepata hati chafu.1. Afya tunalipia kwa bima mkuu,
2. Maji mwaka jana walipandisha bili ili mamlaka ijitegemee kutoka 750kwa cubic metre hadi 1440TZS,
3. Elimu nguvu za Wananchi kujenga Misingi na Maboma (Uchangiaji kutoka mfuko wa jimbo pia kwenye maboma) Manispaa ni kuezeka tu, ile 6,000TZS kwa kila mtoto wa Primary elimu bure, na 25,000TZS kwa kila mtoto wa Sekondari inatoka kwa JPM, JAPO naye tutamuuliza maana CAG anasema haitoki na hivyo kuchangia kuelegeza ubora wa elimu.
Sasa barabara, tunalipia 40TZS kwa kila lita ya mafuta halafu, tunapitisha kwenye Barabara za vumbi mawe na gari kuharibika. Kodi zetu ni za ninin?
4. aana umeme tunalipia hadi tunalipia gharama za kusambaza Nguzo, Nyaya, Survey, pia tunalipia na REA 3%, yaani tunapeleka umeme vijijini sie sie ili tanesco wao bila mtaji(investment) wafanye biashara yenye faida mtaji kwa mwananchi waishio mjini kama ILEMELA NA NYAMAGANA
SWALI NI KWANINI KODI ZA NDANI HAJIJENGI BARABARA wakati huduma za jamii tunalipia pembeni au kwa mipango ya kibima?.
Hizi Barabara za BUSWELU-BUSENGA_COCA, BUSWELU-GEDELI Primary, KAHAMA-Kabusungu, IGOMA -KISHIRI-BUHONGWA, KISHIRI-FUMAGILA, MWATEX -MAHINA MKUYUNI, MAHINA MWANANCHI-BUZURUGA ni aibu kwa Serikali na ILEMELA/NYAMAGANA jiji
mwaka jana
Kuna miradi ya kimkakati inajengwa Nyamhongolo, Soko kuu town center na Nyegezi, unajua pesa zinatoka wapi na thamani ya miradi?http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf pitia hii link vizuri. CAG yupo ni mkaguzi mkuu wa hesabu za Umma hakuna mwaka Halmashauri imepata hati chafu.
http://www.ilemelamc.go.tz/storage/app/uploads/public/5d7/8b0/f04/5d78b0f046dc6745412498.pdf pitia hii link vizuri. CAG yupo ni mkaguzi mkuu wa hesabu za Umma hakuna mwaka Halmashauri imepata hati chafu.
wewe ujue tunaongelea barabara usirukeruke kama mwanafunzi wa sekodari anyeelekea kufeli, jpm anatumia jina la kilaza. Stendi zikikuwepo hata kama vilipwayaKuna miradi ya kimkakati inajengwa Nyamhongolo, Soko kuu town center na Nyegezi, unajua pesa zinatoka wapi na thamani ya miradi?
Huwezi kuongelea barabara hujui mapato na matumizi nimeuliza swali umepanic. We are not on the same level of thinking. Thanks for your participation.wewe ujue tunaongelea barabara usirukeruke kama mwanafunzi wa sekodari anyeelekea kufeli, jpm anatumia jina la kilaza. Stendi zikikuwepo hata kama vilipwaya
no panic mkuuHuwezi kuongelea barabara hujui mapato na matumizi nimeuliza swali umepanic. We are not on the same level of thinking. Thanks for your participation.
Nafikiri si vizuri kusema huo ni msaada wakati serikali inalipa, pili Kama uko mza nakushauri uende ofisi husika uwaulize nafikiri huko utapata majibu.mkuu hapa wanasoma na kuandika wetu wenye uelewa mkubwa sana na mdogo pia, Sijasema ni vibaya kupokea misaada, hiyo itakuwa uelewa wako mkuu.
NASEMA why tusijenge barabra kwa pesa zetu pia? TUsifanye msaada ndio maisha yetu bila msaada hatujengi barabara, nchi ni yetu tuijenge misaaada itakuja kujazilizia Km12 barabara msaada, huku km ZERO ujenzi kwa kodi zetu, hii ndio nasema akili zetu zinategemea msaada kwenye nchi iliyifufua azimio la arusha ujamaa na kujitegemea?
Hakuna mji tz unaojenga barabara zake kutokana na own source hata dar na mapato yake wanajengewa na serikali kupitia DMDPIlemela MC sijui imemegwa from Mwanza Jijji 2010 au 2011, hadi leo mmejenga kilomita ngapi za lami from own source? na wapi?, we as stakeholders seriously need to know and assess you as a public office kwa ujenzi wa miundombinu in particular today or on this thread TARMAC ROADS DEVELOPMENT in Ilemela