Mwanza biashara unaweza kufanya kwa mtaji wa Tsh 500,000/=

Joined
Jun 8, 2016
Posts
13
Reaction score
23
Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
 
We kama wewe unapenda kufanya nini? Kitu gani una interest nacho
 
Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
ngoja waje wataalamu wa mambo ila ungesema nini unachopenda kufanya iliwatakao kuja kukusaidia wajue wanaanzia wapi ahsante.
 
Kwa mtaji wa laki tano unaweza ukanunua mahindi vijijin mwez watano msimu wa mavuno debe Ef 6 ad ef 7 ,gunia la debe kumi hua haizid 60k kwa bei ya Iringa mwez wa tano. ko unaweza jumua gunia 4 kwa 240k.
Saga uza unga mjini. kila debe litakupo zaid ya 20k
 
Asante unauzoefu na hii biashara
 
Tayari usha
Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
Feli yaani Una mtaji halafu haujui biashara ya kufanya?
 
Kama unajua kuvaa vizuri na unazijua code za nguo na unawajua watu wa huko na tamaduni zao fanya biashara ya nguo za mtumba , utanishukuru huo mtaji inatosha kuanzia
 
Kuna watu wanafunga mpaka 200K kwa siku kama faida.
Hii biashara ukiipatia sehemu yenye chuo ndio advantages zaidi mimi nakaa maeneo ya chuo kuna mama anapika maandazi na maharage usiku kuanzia saa 1 mpk saa 5 usiku kamaliza na anakanda kwa mashine km bakery
 
Back
Top Bottom