Mwanza: Binti anayesoma wa kidato cha tano jijini Tanga auawa na mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO

Hii tukio limetokea mwanza na kuthibitishwa na kamanda mtafungwa

Binti anasoma kidato cha tano huko mkoan Tanga

Apumzike kwa aman sana

Kijana mmoja kwa upumbavu wake kamuua mtoto wa watu kwa sababu za kijinga kabisa

Kama mapenzi yamekushinda au huyawezi achana nayo na ukitaka kufa sisi hatukatai bali kufa peke yako

Wakurya jifunzen achen ujinga wapuuz wakubwa nyie, mwingine mwaka juzi aliua binti wa watu kwa kumpiga risasi

==================
Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) inadaiwa amefariki dunia baada ya kukabwa koo na mpenzi wake, Adamu Kailanga (30) kisha naye kudaiwa kujinyonga kwa mtandio kisa wivu wa mapenzi.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Wilbrod Mutafungwa iliyotolewa leo Jumatano Februari 5, 2025 imesema baada ya kupata taarifa, Askari walifika eneo la tukio na kukuta mwili wa mwanafunzi huyo ukiwa sakafuni na wa Adam ukining'inia juu ya paa la nyumba.

LONDON BOY
 

Attachments

  • Screenshot_20250205-210028.png
    236.9 KB · Views: 5
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…