Mwanza-Busweru

Mwanza-Busweru

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,692
Reaction score
5,647
Kwema wana JF.
Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali.
Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda sasa.

Natanguliza shukrani
 
Sasa wilayani si ina vitengo vingi.... Elezea Idara hipi, Afya, ardhi, na vinginevyo hili iwe rahisi hata akitokea mtu basi ajue anaanzia wapi
 
Back
Top Bottom