Kwema wana JF.
Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali.
Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda sasa.
Dah! Mtihani huo kidogo.
Mtu naemtafuta anaitwa Privatus Rwegasira, najua alikuwa mhasibu,ila idara,ntakudanganya. Labda kupitia jina hilo, anaemfahamu anisaidie