LGE2024 Mwanza: CCM wakatiza mbele ya mkutano wa ACT wakati mgombea akinadi sera zake

LGE2024 Mwanza: CCM wakatiza mbele ya mkutano wa ACT wakati mgombea akinadi sera zake

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh:

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

=====



Katika kile kilichoonekana kuwashangaza wengi, ni kuingiliana na kukaribiana kwa mikutano miwili ya kampeni ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na chama cha ACT Wazalendo.

Tukio hilo limetokea Novemba 26, 2024, Mtaa Isamilo, kata Isamilo, Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza wakati wa mkutano wa ACT ulioongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa ACT bara, Ester Thomas.
 
Back
Top Bottom