Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Buswelu, manispaa ya Ilemela, Mwanza, Iqra Kippa, ametangaza mgombea wa CCM, Daniel Kagaruki, kuwa mshindi wa uenyekiti wa mtaa huo baada ya kupata kura 246. Mgombea wa CHADEMA, Philip Mpanduji, amepata kura 17.