LGE2024 Mwanza: CCM yashinda Majengo Mapya, Ilemela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,


Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa:
LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Buswelu, manispaa ya Ilemela, Mwanza, Iqra Kippa, ametangaza mgombea wa CCM, Daniel Kagaruki, kuwa mshindi wa uenyekiti wa mtaa huo baada ya kupata kura 246. Mgombea wa CHADEMA, Philip Mpanduji, amepata kura 17.

 
Anguko kuu kwa SACCOS.
 
Reactions: Tui
Maigizo ya kitoto na ya kipumbavu mno
 
Ungese mtupu.

Kuliko kutapanya gharama kubwa kwenye haya maigizo ya uchaguzi si bora hata wangejenga vituo vya afya
Mngese ni wewe hujaenda kupiga kura unalalamika tu nyuma ya keyboard
 
Reactions: Tui
Ccm tukishinda tusisherehee bora
 
Huyu anafaa, wale wa chadema walevi wa kupindukia, wanakata mauno bar tu
 
Najua una hamu hasa ya kufirigiswa ila kwa bahati mbaya mimi sio mdau wa mapunga.
Acha uzwazwa kulalamika nyuma ya keyboard na ka-ID fake hakukufanyi kuwa hero bali jibwa koko
Halafu mambo ya upunga yametokea wapi? Tatizo Jf ya siku hizi imevamiwa na washamba wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…