Elections 2010 Mwanza City on Fire!

Nasikia hatimaye masha amekubali matokeo baada ya wananchi kukubali kufa kutetea haki yao. Sasa hali inaanza kurudia kawaida.
 
oh sh!t!!!!! watanzania roundi hii wameamua wamechoka. you can push the people so far but at some point the people will push back.

it is not about being a peaceful nation, NO! it is about standing up and fighting for what you believe in. for far too long CCM has taken tanzanians for granted and now CCM is about to find out that tanzania belong to tanzanians not CCM.
 
JK ndicho chanzo cha vurugu aliona kule Kenya lakini hakujifunza lolote lile ya kuwa NEC lazima kiwe chombo huru hakutaka kwa manufaa yake swali linakuja nchi afikiria ataitawala?
 
Mungu wangu,hawa CCM wanataka kuona damu inamwagika tu.nasikia hali ya hatari imetangazwa mjini Mwanza.

kwa nini CCM na si Chadema? Chadema ndio waanzilishiw a fujo,kwa kulazimisha ushindi
 
roho yangu haina furaha kabisa,siamini haya yanatokea nchini mwangu.kwa nini lakini jamani kung'ang'aniza hata msipotakiwaaaa,eeh mungu tuepeushe na balaal a kuongozwa na mkwere and company,tushachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…