Mwanza City: The Photo Gallery

Naona mmejitahidi kutangaza Hotel za wanaume wenzenu bila gharama yoyote. Hayo mahotel yote hayamsaidii mtanzania wa mwanza anayewaza ada za watoto. Chakula. Kodi ya nyumba. Nk
 
Jiji zuri ila bado kuna madhaifu ya kimiundombinu na upangaji wake na hii ni changamoto kubwa sana kwa miji yetu TZ
 
Kinachonikera katika jiji la mwanza ni vile vipanya vya kubeba abiria kwanini hawaweki usafiri mzuri hata mabasi makubwa tu waeke.
 
Naona mmejitahidi kutangaza Hotel za wanaume wenzenu bila gharama yoyote. Hayo mahotel yote hayamsaidii mtanzania wa mwanza anayewaza ada za watoto. Chakula. Kodi ya nyumba. Nk
Lol! Hujui umuhimu wa hotel kwenye uchumi wa nchi? Au wewe unajua tu hela inayoingia moja kwa moja mfukoni kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…