Mwanza City: The Photo Gallery


Nimeangalia hii picha kwa makini, baada ya miaka 15-20 eneo hili litakuwa tofauti.

1. Nyamagana inaweza kuwa imejengwa majukwaa.

2. Station mpya ya sgr, pamoja na daraja la treni kuelekea bandari ya mwanza north.

3. Capri point inaweza kuwa kuna majengo ya zaidi ya ghorofa kumi na kufanya skyline mpya huko.

4. Barabara ya kenyatta inafanyiwa upembuzi ili ijengwe njia nne.

5. Pembeni ya barabara ya kenyatta kuna kiwanja cha Nyanza NCU, wanatafuta pesa wajenge jengo kubwa la kitega uchumi.

6. Kama BRT ikianza mwanza kutakuwa na kituo kikubwa cha brt karibu na Station kwa mujibu wa mwanza masterplan.
 
tupatie link mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…