Mwanza City: The Photo Gallery

Mimi nashauri yajengwe maghorofa kama magomeni then wahamishiwe, badala ya kuwapa fidia,
Wakipewa fidia wataenda kufanya ujenzi holela kwingine
Ushauri mzuri sana kuliko kuwapa fidia wajengewe maghorofa yakuishi, wakipewa fidia wataenda kuharibu wilaya nyingine za Mwanza.
 
Wakuu mwenye picha ya lile jengo la JC Gear la pale kenyata rd. naomba aitupie hapa. Jana nilipita maeneo hayo baada ya muda mrefu sana nikashangaa kuona mjengo umesimama hapo wakati palikua na mlima wa mawe
 
Hii ni Brazil ,,,, wawekezaji wapafanye hiviView attachment 2260794
Baharia karibu sn, upo vizuri nimeona umeupiga mwingi sana kwenye uzi wa Mwanza vs Arusha hakika una madini kama mgodi wa ggm, turudi kwenye mada yetu, kwanza ni kama naona ndoto adi sasa sijaamin huu uwekezaji na kama ni kweli basi jiji letu la Mwanza litapiga hatua sn hapa barani Africa, naomba hao wawekezaji wafanye kweli ili tuone hii ndoto ikitia, Daima Mwanza mbele milele amina.
 
Mimi nashauri serikali ya mkoa hii fursa haya ndo maendeleo yenyewe sio kwamba wanaoishi milima bila huduma wanapenda ila umasikini tu.Wakipewa hiyo fidia au na viwanja itakuwa sehemu ya kuwakwamua na kuanza maisha mapya na salama na ninahuakika hakuna atayepinga kwa wakazi hawa kama watashirikishwa vizuri na miradi hii ikawa sehemu yao.Wanaosikika wakipiga kelele huko mitandaoni sio wakazi wa Mwanza ila ni maadui wa Mwanza. Hii miradi ingekuwa kwao usingesikia kelele hata kidogo.Naomba Meya simamia hili kwa moyo wako wote wanamwanza tunakuunga mkono.
 
Wakazi wa hivyo vilima ni bora wapishe chap wapewe fidia stahiki kazi iendelee hakuna namna, mji uvutie sasa.
 
Nakubaliana na wewe ..kazi yetu ni kubainisha kweli na uongo ....mwanza ni great city
Kumekuwepo na mikakati mizuri ya maendeleo ila politics zinarudisha nyuma maendeleo ya mkoa huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…