montegobay
Senior Member
- May 4, 2016
- 114
- 132
Nyegezi!Kiukweli nilipapenda sana Mwanza... Nikapata uwezo ninaweza kuweka makao mengine huko...
Hiyo Luchelele iko sehemu gani, maana ndio kwanza naliskia hilo jina?...
Nakubaliana na wew 100% ni vile vinguo vyao ni BalaaView attachment 545565 View attachment 545566 View attachment 545567 View attachment 545574 View attachment 545580 prisma hotel kipande cha nyegezi. kwa anayelijua hili chimbo atakubaliana na mimi kuwa wahudumu wa hapa ni wakali sana na wana nidhamu sana. mida ya jioni huwa panafunguka ile ile.
hahahahaha kweli we unapafahamu.
Hilo chimbo lipo nyegezi sehem gani asee
poa ngoja nilifanyie kazi ombi lakoWeka na Picha ya Majukano hotel