Mwanza City: The Photo Gallery

Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
Si mnapenda kulinganisha hicho kimji na Geneva ya Afrika acheni sifa za kijinga nyie.
 
@nanyupu,
ghorofa la j4 hapo haliwezi kuonekana kwani halipo kwenye mtaa huo aliopigia picha,

kibiti ntakuja kununua mkaa huko,nimepata tenda ya kupeleka yemen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…