Mwanza City: The Photo Gallery

Kaka kuna siku ulituambia utaongea na picha tu, au Unbeaten imekuchanganya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna jambo letu Kwa mkapa.. karibu sana
NB :bado nipo kwimba,,,town nategemea kurudi kesho ...hapo ndipo picha zitaongea[emoji16][emoji16]
 
Mi najiuliza hivi kuna member kweli anaishi mwanza maana hakuna update yeyote ya maana hapa weekend hii! Ngoja mi nakujua mwisho wa mwaka Mwanza nije nifanye hii kazi![emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] tunategemea post za insta, YouTube na facebook.ndio tupate update.... kingine nawashauri wakazi wa mwanza ,sio lazima upige picha jengo au mradi mzima ...hata ukipiga kile kibao Cha maelezo ya kandarasi inatosha
 
Leo nimepata view ya mswahili,voil,pepsi,mchafu kuoga,igogo,tanesco hadi Capri point [emoji16][emoji16]
 
Leo nimepata view ya mswahili,voil,pepsi,mchafu kuoga,igogo,tanesco hadi Capri point [emoji16][emoji16]
Mheshimwa cha asubuhi si utupie view sasa! Mbona watu mmeanza kuwa na roho mbaya ya uchoyo 😂😂😂😂!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…