Mwanza City: The Photo Gallery

Pale ghana pamechangamka sana kwa majenzi makubwa yanayoendelea, pale kona ya mwaloni jengo limefika ghorofa mbili, pale ghana tena kwa yule mhaya naona nguzo zimeanza kutokea na ujenzi unaenda kwa kasi.
 
Sa sibora nyie mwanza munakumbukwa je sisi wa Arusha mpka twahisi hatuko Tanzania hii Stend tuu yenyewe mpka leo imebaki ndoto masoko toka miaka ya 2000 mpka leo hakuna hata mabadiliko
 
Acha kulialia meya wenu hukumsikia kuwa mnajenga stendi kubwa afrika mashariki na kati hakuna kama hiyo fuatilia media bro.
 
Sa sibora nyie mwanza munakumbukwa je sisi wa Arusha mpka twahisi hatuko Tanzania hii Stend tuu yenyewe mpka leo imebaki ndoto masoko toka miaka ya 2000 mpka leo hakuna hata mabadiliko
Kuhusu soko huyo meya alisema ata kariakoo itasubiri, kuna miradi ya tactic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…