Nakataa mkuu, apartment ya kuish mtu haiwez kuwa eneo sensitive kama hiyo rafiki, pale kuna petro station, mahotel then mtu haweke nyumba ya kuishi tena barabarani.View attachment 2457040itakuwa ni hii project ya Jenga nasi
Kama nyuma sawa lakini uzio wa bati upo kwa mbele kuelekea barabarani.View attachment 2457040itakuwa ni hii project ya Jenga nasi
Kama ni hiyo mipango miji watakuwa wamefeli sana.View attachment 2457040itakuwa ni hii project ya Jenga nasi
Mbele ya Olympic Kuna nafasi Gani ...mi naona Kuna shell au Kuna eneo la wazi paleKama nyuma sawa lakini uzio wa bati upo kwa mbele kuelekea barabarani.
Kuna eneo kubwa tu limepatika hapo pembeni nazan kulikuwa na nyumba hapoMbele ya Olympic Kuna nafasi Gani ...mi naona Kuna shell au Kuna eneo la wazi pale
Kuna video za wakenya niliona hizo bati nikataka kuuliza nini kinajiriHapo olympic ghana pembeni wamezungushia bati naona kuna ujenzi mkubwa sana utaanza soon
Hata mimi nahisi ni hizo apartment ila ngoja tusubiriSio zile apartment.kuna render yake ishawahi tumwa na ngokongosha,,Kuna apartment zinatakiwa kujengwa hapo Ghana
Kama walivyofeli kwa mkombozi? 🤣Kama ni hiyo mipango miji watakuwa wamefeli sana.
Alafu mr slowly anasema kuna nyumba ya vyumba viwili itajengwa hapo.Kuna video za wakenya niliona hizo bati nikataka kuuliza nini kinajiri
Najua umeanza uchokozi😂😂😂😂😂😂Kama walivyofeli kwa mkombozi? 🤣
Sidhani kama ni hii , pale bila Shaka ni mega oneView attachment 2457040itakuwa ni hii project ya Jenga nasi
Ata mimi nilikuwa nawaza kama wewe hii nyumba haiwez kujengwa hapo.Sidhani kama ni hii , pale bila Shaka ni mega one
Hapa ndio wap
Ulaya ndio huwa hawana mambo mengi kwenye cbd na look gud sana, parking, garden, recreational area, commercial buildings, market and malls hivi ndio vitu muhimu kwenye cbdView attachment 2458097
Mwanza tukipata CBD ya ivi, nashauri iwe Capri point Majengo yawe machache with space for parking and Gardens
Hii ni miji ya kijerumani hapo ni FrankfurtHapa ndio wap
Ulaya wako smart sana.aisee ......unakuta mji hauna majengo marefu lakin unavutia kinomaHii ni miji ya kijerumani hapo ni Frankfurt
Kabosa aseeUlaya wako smart sana.aisee ......unakuta mji hauna majengo marefu lakin unavutia kinoma
Magodown je, sio ya muhimu? 🤣Ulaya ndio huwa hawana mambo mengi kwenye cbd na look gud sana, parking, garden, recreational area, commercial buildings, market and malls hivi ndio vitu muhimu kwenye cbd