Mwanza City: The Photo Gallery

Mkuu thanks so much for the pics. Hata ambaye Mwanza haijui ataijua na kuipenda. Lakini ningeomba uwe unaweka captions ukibandika picha. Otherwise picha inakuwa haina tofauti na mtu kuchukua picha ya Honduras au Colombia na kuweka humu bila maelezo. It is meaningless.

Otherwise good job bro!
 
Sure..
 
Uko sakini ktk picha hizo zote ni za hapa hapa Mwanza City.karibu sana ndugu
 

nsharekebisha
 
Kwa mbaaali panaitafuta Kariakoo dar es salaam maeneo ya Jangwani kwa yanga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…