Mwanza City: The Photo Gallery

Ukubwa wa ma jiji ni km ifuatavo
Dar es salaaam
Mwanza
Arusha
Tanga
Mbeya
Dodoma

Mikoa ambayo siku za usoni itakuja kua na hadhi ya jiji
Moshi (KLM)
Morogoro
Iringa
Morogoro bado sana na imepata kikwazo kingine kikubwa sana mkuu Dodoma imekuwa jiji hivyo morogoro itaendelea kuwa manispaa kwa miaka mingi sana ijayo.
.
Ni sawa na geita ilivyoiwahi kahama kuwa mkoa, kahama ipo karibu sana na geita hivyo na yenyewe itachukua miaka hata 70 kuwa mkoa
 
picha ya kwanza hapo juu ianonyesha vizuri jengo jpya la BOT ambalo ujenzi wake bado unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…