Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City 1907 kwa mbali Capripoint kwa wakishua!!!View attachment 1050664

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi sana kuona mandhari ya awali ya Mji wa Mwanza ulioanzishwa na Wajerumani mwaka 1890.
Mji huu ulianza kukua kwa kasi baada ya kuunganishwa mwaka 1928 kwa Reli ya Kati, junction ya Tabora - Mwanza. Aisha, kilimo cha pamba kilichoshamiri Kanda ya Ziwa baada ya WW II (1940s) kiliukuza maradufu mji huo.
Kufikia kipindi cha uhuru mwaka 1961, Mwanza ulikuwa tayari wa nne kwa ukubwa nyuma ya Dar, Tanga na Zanzibar lakini by 1980 Mwanza ulikuwa tayari wa pili kwa ukubwa na tangu hapo haijarudi nyuma. Ulikuwa mji wa pili nchini kupewa hadhi ya jiji mwaka 2002.
Its (the City) present population is approaching 1,000,000 residents.
 
Mji ambao umedumaa ni Tanga.Una masterplan nzuri lakini haukui kimaendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…