Mwanza City: The Photo Gallery

Nimeimisi mwanza sana.jiji la samaki,aka jiji la mawe,mwanza nitarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jitahidi bana ufike Rockcity japo mara moja katika maisha yako..
Mara ya kwanza kwenda rock nilipafagilia sana nikasema soko limekaa kimamtoni saivi

Nlivyofika mambele kumbe mwanza rock city mall hata robo hatujafika na bado tuna safari ndefu
Aise nilijiona mshamba kwa mawazo yangu ya kulinganisha rock city mall na mashop ya mamtoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo ni nini?
Kulikuwa na mti hapo uliokuwa ukitumiwa na wakoloni kunyongea watu, sasa wakati wanajenga barabara enzi za mkapa walikata mizizi hivyo ukakauka, ulipokauka wakaukata matawi ukabakia kipisi ambacho kiligongwa na dereva mmoja kikatoka kabisa sasa jiji wameamua kuweka mti artificial mfano wa kipisi cha mwanzo.
 
Mkuu huo gari gani lingeweza kuugonga na kuuthuru ule mti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…