Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Naiona Wodi no 8 kwa matatizo ya mifupa sitaki kupasikia
Hotel ipi hii tafadhali na ipo wapi hapo mwanza
Ipo Mitaa ya Luchelele, vist https://samanenehotel.comHotel ipi hii tafadhali na ipo wapi hapo mwanza
Pale pale wanavunja na kujenga lingine waliopo wanaenda kula soko la mirongo kwa muda km cjakoseaSoko litajengwa wapi