Mwanza City: The Photo Gallery

city style house.
hapa unaweza pia kupiga usingizi wako mwororo hadi unasahau shida za kesho.
 
natambua uwepo wako mkuu.
Hongera kwa kuliwakilisha vizuri kiasi kwa picha Jiji la Mwanza. Utanogesha zaidi ukiweka picha nyingine zaidi ya Hotel km vibanda hasara; migahawa ya wazi; masoko rasmi na yasiyo rasmi; vituo vya kuegesha vyombo vya usafiri na 'stand' za mabasi; nk
 
asante sana mkuu. tupo pamoja
 
maneno kama haya ni ya mtanzania asiye a staha. kuwa mstaarabu madam we ni mtanzania unacholazimisha wewe udhi haukuruhusu. by the way kwanini tugombanie fito?
Hilo ndio jibu la swali! Mbona refu sana..
 
namalizi hotel moja narudi kitaa kupachimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…