Mwanza ferries vs Kenya ferries

Huu uzi ni wa kindezi sana yaan vivuko vya mkoa mnashindanisha na nchi nzima..

Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
 
Watz tunapenda ligi za kijinga na wakenya.

Utadhani watz wamewekeza sn Kenya au Watz kibao wameajiliwa Kenya km jlivyo kwa wakenya hapa tz.

Tuache maujinga ya kufurahia maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu.
 
New ferries Lake Victoria, Lake Tanganyika and Lake Nyasa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…