Mwanza ferries vs Kenya ferries

It look like the next dollar billionaire in Tanzania will be Songoro Marine, this guy is now implementing more than 90% of all ships and ferry projects in the country and beyond the borders... Kudos
 
It look like the next dollar billionaire in Tanzania will be Songoro Marine, this guy is now implementing more than 90% of all ships and ferry projects in the country and beyond the borders... Kudos
Ila anapaswa ku-invest more ASAP to capture sea vessels projects pia kukamata miradi ya boats za kina Bakhresa, TPA na soko la nje!

Miradi ya LNG, bomba la mafuta Uganda na deep sea oil n gas exploration need/ will all need vessels!

Akiijipanga vizuri atakuwa next billionaire ofcourse as so many multibillion projects r on course to mature! He should venture into sea service vessels!
 
His family and him are residence of Mwanza,yet he ain't in the top ten list of richest people in Mwanza.
 
UJENZI WA VIVUKO BUGOROLA UKARA, CHATO NKOME KUKAMILIKA AGOSTI
Matokeo ChanyA+ 4 hours mda uliopita WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO Acha maoni 38 Imeonekana




Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle wa pili kushoto akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Prof. Idrissa Mshoro wa pili kulia wakati wakikagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vya Bugorola Ukara na Chato Nkome katika tukio lilofanyika katika yadi ya Songoro. Ujenzi wa vivuko hivyo unategemewa kukamilika ifikapo mwezi Agosti mwaka huu, ujenzi huo umechelewa kukamilika kama ilivopangwa kutokana na kutokea kwa ugonjwa wa mafua makali maarufu Covid 19. Kulia ni meneja wa TEMESA Mwanza Mhandisi Hassan Karonda na kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Songoro inayojenga vivuko hivyo Major Songoro.


Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle kushoto, Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Prof. Idrissa Mshoro katikati na Mkurugenzi wa kampuni ya Songoro Major Songoro wakipita pembeni ya kivuko kinachotarajiwa kutoa huduma kati ya Bugorola na Ukara wakati walipokua wakikagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko ambavyo vinatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Agosti mwaka huu. Tukio hilo lilifanyika katikayadi ya Songoro iliyopo Ilemela.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle kulia akimueleza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Prof. Idrissa Mshoro wa pili kulia wakati alipotembelea karakana hiyo kujionea maendeleo ya ujenzi na ukarabati wa karakana hiyo unavyoendelea. Wa tatu kulia ni meneja wa TEMESA Mwanza Mhandisi Hassan Karonda.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle aliyenyoosha mkono akimuonyesha maendeleo ya ukarabati na ujenzi wa majengo mapya ya karakana ya mkoa wa Mwanza Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Prof. Idrissa Mshoro wa pili kulia wakati alipotembelea karakana hiyo kujionea ujenzi unavyoendelea. Kulia ni meneja wa TEMESA Mwanza Mhandisi Hassan Karonda.

UJENZI WA VIVUKO BUGOROLA UKARA, CHATO NKOME KUKAMILIKA AGOSTI - Matokeo ChanyA+
 
Ferries that don`t make a profit. MV Uhuru makes sh 4 million profit for every trip. It has made 8 trips so far to Uganda. For every trip, it carries 1.2 million liters of petroleum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…