Mwanza: Fiesta yasababisha Mechi ya Simba na Mbao kuchezwa Alhamisi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Wakuu hii ligi yetu ni bora liende, nimepata taarifa Mechi ya Mbao vs Simba iliyokuwa ipigwe Jumamosi hii katika dimba la CCM Kirumba imerudishwa nyuma na itapigwa Alhamisi ili kupisha tamasha la muziki la Tigo Fiesta.
Sikuwahi kujua Fiesta ina nguvu kubwa kiasi hiki? Only in Tanzania!
 
Ni sawa, wao ndio wamewahi kubook uwanja
 
Kwan mbao wamethibitisha kuwa uwanja wa nyumban n CCM kirumba n ln? Na hao fiesta wamebook ln?
 
Hapo mwenye maamuzi ni mwenye uwanja kawaambia bodi ya ligi jumamosi uwanja unatumika. ... lbd jmosi waipeleke nyamagana. Ila si mara ya kwanza hata mwaka juzi ilitokea Mkwakwani mechi iliwahishwa kupisha fiesta. .... Tatizo ni "mahusiano ya wamiliki wa viwanja na wenye fiesta"
 
Kwan mbao wamethibitisha kuwa uwanja wa nyumban n CCM kirumba n ln? Na hao fiesta wamebook ln?
Mbao uwanja wao wa nyumbani ni kilumba tangu ligi kuanza hata msimu Jana
Hapo utakuwa undava tu wa mjini
Mpk inakera
 
Kwani mbao si walishabook kuutumia kama uwanja wa nyumbani na ratiba wakampa mwenye uwanja (ccm)!??
Iweje na bodi ya ligi ikubali mabadiliko yasiyo na tija!? Kwani fiesta ikiwa j2 au kabla ya j1 kuna shida!? Labda bodies nayo imekula kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…