Elections 2010 Mwanza hali si shwari

Status
Not open for further replies.

Samuel A K

Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
45
Reaction score
1
Hali ya jiji la Mwanza kwasasa si shwari kama wengi wanavyodhani, kwani imeonekana kama majimbo yote ya mjini yameweza kuchukuliwa na upinzani basi hata mapinduzi yanaweza kufanywa.

Ulinzi kutoka sekta ya ulinzi (dola na makampuni binafsi ya ulinzi) umezidishwa kila kona kwasasa
 
mi niko barabarani natembea mbona ni shwari sana

na sasa naelekea kirumba mwaroni kote huku shwari
 
Huu uzushi kabisa Mwanza Safi nimepiga simu sasa hivi acheni uzushi
 
Una uakika unacho kinena????
 

Unapindua nini? mkoa? Huu ni uzushi!
 
Kuko shwari baada ya kutamka mategemeo ya walio wengi, pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!
 
Uongo mtupu,mwanza watu wamekaa raha mustarehe wajilia sato,labda useme wafanyakaz wajiji wanasafisha jiji kwa uchafu namawe yaliyowekwa na wahuni siku2 zilizopita,mwanza shwaaaaari kabisa
 

this is total negativity
 
this guy is brain is out of his skull
 
masha anamwaga mihela ili kuharibu utulivu wa wana mwanza?
 
hawa watu wapo tandahimba wanaandika habari za uongo za mwanza tuwatafutie dawa, mi nipo hapa mwanza katikati ya jiji napata moto baridi hali ni shwari kabisa tunasherekea ushindi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…