A
Anonymous
Guest
Jiji la mwanza na wilaya ya ilemela hasa maeneo ya kuanzia mabatini mpaka nyakato hatuna hduma ya maji toka jana siku ya Alhamis tarehe 27/2/2925 mpaka leo Ijumaa ya tarehe 28/2/2025.
Maji yalikatika jana usiku mpka leo hayajarudi na hakuna taarifa rasmi kutoka Mwauwasa ambao ndio mamlaka inahusika na usambazi wa maji jijini hapa.
Kuna tetesi kwamba bomba kunwa la kusambazia maji limepasuka kutokana na ujenzi wa daraja na barabara unaoendelea eneo la mabati.
Tunaomba mamlaka husika MWAUWASA iweze kutoa taarifa rasmi kuhusu kukatika uku kwa maji na pia waweze kurudisha maji haraka iwezekanavyo maana tunapitia kipindi kigumu sana sie watu wa maeneo ya Nyakato