Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

Mkuu usije kua umefungua jiko jirani na mbise so unamharibia biashara kwa kujua mbise huku jf hayupo hawezi jitetea
 
Kimsingi aliyeleta huu Uzi Anatola kumharibia mbise biashara. Mbise yeye ndio WA kwanza kuanzisha kitimoto BUSWELU center. Mbise yeye anajishuhulisha na kitimoto tuu. Na siyo supu . hapo kwa msukuma kuna majiko mawili .Jiko la kwanza ndio la kitimoto analoendesha mbise. Jiko la pill ndio la supu .Jiko la supu anayeliendesha ni MANGI kwa jina anaitwa Mushi. Mushi yeye ananunua MBUZI wakiwa wazima na kuchinja. Mbise yeye wafugaji we ngurue wanakuja kuchukua order kwake wanamletea kwa Pikipiki .Mimi ninauza butcher hapo JIRANI kwahiyo wakati mwingine tunaazimana hata Mizani za kupimia nyama
 
!!!!!!!!!😳
Mkuu hvyo ni vitu viwili tofaut kabsa

Kitimoto ni nyama safi sana iliyorostiwa au kuchomwa vizuri na mara nying huliwa na ugali au ndizi huku ukishushia na bia yako saafi

Nguruwe ni mnyama mmoja mweupe au mweusi mchafu mchafu ana lipua guru libaya anafungwa ya mji vijijini huku
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Nimharibie!!! ili iweje? Si yeye mwenyewe kayakoroga.
Kamuulize yaliyomkuta.
 
Hiyo bucha ya jirani sio ajabu ni wewe hapo unayetizamana na kituo cha kupandia magari au unatizamana na Charle wa Chips ambaye una sifa ya kuchoma nyama zako DAWA MAITI
 
Hiyo bucha ya jirani sio ajabu ni wewe hapo unayetizamana na kituo cha kupandia magari au unatizamana na Charle wa Chips ambaye una sifa ya kuchoma nyama zako DAWA MAITI
Naomba na sifa zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…