Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

Pa
Pale msukuma pub nimekula Sana supu ya mbuzi kumbe majanga Tena Ila sijutii supu yao in radha na Ni nzito ukipiga na CD inakaa tumboni vyema...karibu buswelu, mbogamboga
 
Jamaa zangu wa Iringa na Njombe hadi sasa hawajaelewa mleta mada analalamika nini!!
 
Mbona wengine wanakula mboga hyo na haijawahi kuwaletea madhara, hivyo usiogope tafuna supu hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…