Mwanza: Hoteli inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu, Hotel ya new Mwanza inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2. Moto umeshika kasi

====

Breaking news


Klabu maarufu kama Club Dallas iliyoko katika hotel ya Mwanza Hotel inateketea kwa moto muda huu huku chanzo cha moto hup kikiwa hakijajulikana.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Adam Malima akishirikiana na maofisa wa kikosi cha Zimamoto na uokoaji wanaendelea kupambana kuuzima moto huo ambao hadi muda huu umesambaa hadi kwenye paa la klabu hiyo.

Hadi muda huu ni zaidi ya dakika hii thread inawekwa, moto huo uanze kuwaka na bado haujadhibitiwa
Your browser is not able to display this video.
 
Bila shaka ni ile pale round about opp na golden crest, ok New Mwanza Hotel ok.
 
Tax holiday imekaribia kufikia mwisho ama? Nchi inachezewa sana hii.
 
Safi Sana. Kikubwa kusiwe na majeruhi na vifo.
 
Tz hapa bora tuwe na hiduma ya uzimaji moto ya makampuni binafsi .
 
Mara nyingi sana majanga kama haya ya moto zimamoto huwa wanachelewa sijui ni kwanini
 
Aibu hii yani Umbali ni dakika 2 kutoka ofisi za fire.
 
Miaka ya 60,80 tz sehemu nyingi tz kulikuwa na hydrant installation system.....
Mfumo tuliuliaaa mbali na wala hawana na hawafikiri kuirudisha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…