MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

Tatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Hao ni watu wa geita wanarudi kwao
 
Umeongea vizuri Sana mkuu japo najua muda si mrefu wavuta bangi na wanaume wanaojiuza Kwa wazungu watalii watakujia juu
 
Tatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Wewe ndio mshamba na pengine elimu yako haijakusaidia. Unajua maana ya ukabila wewe? Mtu kuongea kabila lake amekuwa mkabila? Nyie ndo huwa mnakataa kwenu. Kwa taarifa yako ukabila ni kumbagua mtu kwa kabila lake. Sasa watu wanaongea mambo yao tena wakiwa wenyewe unasema wana ukabila.
Kwa hiyo ukikuta wazungu wanabishana kwa kingereza na wewe hukijui nao utasema ni ukabila? Mwanza ingekuwa na ukabila watu wasingekimbilia huko kwa wingi, angalia mikoa yenye ukabila hapa Tanzania utaijua.
 
Sijafika Mwanza kabisa ila nawaza kama kuchafu kuchafu sijui kwann!! Huwa nawaza hivyo pia Huwa nadhani hata usalama ni mdogo sana
 
Kama Kuna mahali elimu ya uzazi wa mpango inatakiwa basi ni Mwanza na Kanda ya ziwa!!! Kiukweli wamezaana hovyo kabisa kabisa !! Mtu wa miaka 40 anawake 6 watoto 48 Halafu hawahurumii hata kidogo!! Umasikini umetamalaki,uchawi ,kumiliki fisi ni ujanja Sana!!umalaya wa kishamba puuuuuuuuu
 
Tatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Hivi msukuma,Mmasai na Mgogo wanatofautiana nini?
Ingawa mwanza na Dodoma Kwa sasa zimeshachanganya makabila zitabalika Ila Kwa Arusha bado maana kama sio wa kaskazini kutoboa kimaisha ni kazi sana
 
Sio watu wanakimbilia uko ni kwamba mnazaliana sana
 
Aje Bukoba tumfundishe kozi ya ukabila labda ataacha kufakamia watu kuwaona wana ukabila
 
Wenye akili kubwa ndio watakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma wana sifa tatu za hovyo
1. Ujuaji
2. Ushamba
3. Ukabila

Pia wana matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili.

na

Nakaribisha povu.

Kwenye ujuaji si kweli hata kidogo.

Ushamba ni relative.

Ukabila sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…