Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Mwili wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa wiki tatu umekutwa umetupwa kwenye njia ya mtaa wa Kileleni kata ya Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza hali iliyozua sinfofahamu kwa wananchi wa eneo hilo.
Wakazi wa mtaa huo wamesema majira ya saa moja asubuhi wakati watoto wao wakienda shule waliona kichanga hicho ndipo wakawajulisha wazazi wao ambao walienda na kukiangalia na kukuta kichanga hicho tayari kimeshapoteza maisha.
Chanzi: East Africa TV