Mwanza: kiwanja kwa laki 4 tu

Mwanza: kiwanja kwa laki 4 tu

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza
(kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara)
Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa pikipiki

Miguu kumi kwa kumi tu
Bei laki 4. Dalali nipe 50k

umeme upo tayari
barabara kuu ipo

hakuna mawe ya kuvunja ni hio miti imejiotea

mawasiliano: 0744033555
IMG_20221222_124800_342.jpg
IMG_20221222_124804_256.jpg
 
Back
Top Bottom