Mwanza kupata meli Februari 12, 2023

Safi,umemjibu vizuri sana.Tuombe Mungu atupe hekima yake ya Kimungu ili kujua kusudi la maisha yetu hapa duniani na mwisho wa siku tufe kifo chema.
Yule ndiye hakuwa na busara na maarifa ya kujua maisha haya ni ya kupita tu!

Akajigeuza ndiye alfa na omega. Kumbe yupo MUNGU; wafalme waanguka kifudifudi mbele zake sembuse kiumbe yule! Wacheni watu wateme nyongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…